Hii Ndiyo CCM ya sasa Na kizazi Chake.
1. Mkabidhi Msimamizi wa kituo kadi yako ya Kupigia Kura,
2. Jina lako litasomwa kwa sauti kubwa ili Mawakala wa Vyama vya Siasa waliopo kituoni wasikie,
3. Wasimamizi wa vituo, na hata Mawakala wa vyama vya siasa wakiwa na shaka wana haki ya kukuuliza maswali ili wajidhihirishe,
4. Msimamizi wa kituo atakukabidhi karatasi 3 za kura – yaani ya( Rais, Mbunge na Diwani) na pia atakuonyesha jinsi ya kukunja karatasi hizo,
5. Utaenda sehemu maalum iliyotengwa kwa ajili ya Kupiga Kura yako,
6. Utaweka alama ‘V’/TIKI ndani ya chumba kilichopo chini ya Picha ya mgombea wa URAISI WA CHADEMA kwa jina anaitwa EDWARD NGOYAI LOWASSA. (Picha yake ni mweupe na nywele nyeupe).
7. Pigia kura Mgombea wa Ubunge na udiwani wa CHADEMA/CUF/NCCR/NLD pekee, usimpigie mwingine yoyote zaidi ya hao.
8. Utatumbukiza karatasi zako za Kura katika masanduku ya Kura kwa jinsi utakavyoelekezwa.
9. Kabla ya kuondoka ,utachovya kidole chako kidogo cha mkono wa kushoto katika Wino Maalum usiofutika kwa urahisi.
10. Kaa mita mia moja yaani hesabu hatua za miguu yako zifike miamoja toka chumba chakupigia kura, anza kulinda kura yako MPAKA KIELEWEKE.
USHINDI NI LAZIMA MWAKA HUU.
No comments:
Post a Comment